You Are Browsing ‘Books’ Category

Duniani kote, yapo matbaa ambayo yamekuwepo kwa miaka ayami na kwa hilo, yamefikia kiwango ambacho huenda tukadhani hatuna uwezo wa kufika wala kufikia yaliko. Jinsi matbaa ya humu Nchini Kenya yalivyo kwa sasa, ni dhihirisho tosha kuwa twasonga mbele kila kuchao. Baadhi ya Matbaa maarufu katika uchapishaji...

Duniani kote, yapo matbaa ambayo yamekuwepo kwa miaka ayami na kwa hilo, yamefikia kiwango ambacho huenda tukadhani hatuna uwezo wa kufika wala kufikia yaliko. Jinsi matbaa ya humu Nchini Kenya yalivyo kwa sasa, ni dhihirisho tosha kuwa twasonga mbele kila kuchao. Baadhi ya Matbaa maarufu katika uchapishaji wa vitabu ni: Continue reading “Matbaa Ya Uchapishaji Vitabu...

Birthdays